This product may not be available anymore.

Korongo Samaki na Kaa Pepea Details

  • The best price of Korongo Samaki na Kaa Pepea by Avechi in Kenya is 162 KSh
  • Available payment methods are
    Cash on DeliveryE-Payment
  • Delivery fees are 300 KSh
  • Similar products to Korongo Samaki na Kaa Pepea are sold at Jumia, carrefour, sky.garden, Kilimall with prices starting at 300 KSh
  • The first appearance of this product was on Jan 17, 2019

Similar Products

Store

Payment methods

Delivery Time

Delivery Fees

Avechi's Description

by Yahya

Kaa anapopata habari kutoka kwa Korongo juu ya wavuvi, anaona awafahamishe haraka samaki habari hizi ili hatua za usalama zichukuliwe. Mkutanoni wanakubaliana kwamba pendekezo la Korongo la samaki kuhamia katika mto ulio karibu ni bora. Atakayewahamisha ni Korongo. Hata hivyo, Kaa anagundua kwamba kumbe rafiki yake alikuwa akidanganya.Je, Kaa atachukua hatua gani? Korongo, Samaki na Kaa (Pepea na kipepeo 3D) ni kitabu kinachonuiwa kumpa mwanafunzi fursa ya kufanya mazoezi ya kusoma kwa ziada huku akijiburudisha na kujifunza mambo kadhaa muhimu. Kinaweza kutumiwa pamoia na kitabu chochote cha kozi.

Top Products in Booksmore

    Reviews of Korongo Samaki na Kaa Pepea

    • No reviews exist yet for this product.

    Video Reviews of Korongo Samaki na Kaa Pepea

    • loading video reviews