This product may not be available anymore.

OUP Kiswahili dadisi Mazoezi ya Lugha gredi 3 approved Details

  • The best price of OUP Kiswahili dadisi Mazoezi ya Lugha gredi 3 approved by Avechi in Kenya is 273 KSh
  • Available payment methods are
    Cash on DeliveryE-Payment
  • Delivery fees are 300 KSh
  • The first appearance of this product was on Jan 17, 2019

Avechi's Description

by Waititu/Matei/Mbugua

Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza. kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha. vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi iliopendekezwa. maadili no kufahamisha kuhusu masuala ibuka. 

Katika Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha. Kitabu cha Mwanafunzl. Gredi 3. utapata: 

• mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtataa mpya 

• mifano halisi ya miktadha ambapo hutumika 

• mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja 

• jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi iii kuimarisha uwajibikaji. 

Top Products in Children Booksmore

    Reviews of OUP Kiswahili dadisi Mazoezi ya Lugha gredi 3 approved

    • No reviews exist yet for this product.

    Video Reviews of OUP Kiswahili dadisi Mazoezi ya Lugha gredi 3 approved

    • loading video reviews