This product may not be available anymore.

Kiswahili dadisi Mazoezi ya Lugha Teachers Guide grade 1 Details

  • The best price of Kiswahili dadisi Mazoezi ya Lugha Teachers Guide grade 1 by Avechi in Kenya is 314 KSh
  • Available payment methods are
    Cash on DeliveryE-Payment
  • Delivery fees are 300 KSh
  • The first appearance of this product was on Jan 16, 2019

Avechi's Description

by Oxford

KiswahIll Dadisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipyo vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee iii kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu katika msururu huu vitamwezesha mwanafunzi kupata uhalisi wa lugha katika stadi za kusikiliza. kuzungumza. kusoma na kuandika kama ilivyopendekezwa katika mtalaa mpya. Vitabu katika msururu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kutaka kujifunza Lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa. maadili no kufahamisha kuhusu mosualaibuka. Kiaswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha. Mwongozo wa Mwalimu. Gredi ya I kina mifano halisi no yo kutosho kumwezesha mwalimu kuwasaidia wonafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata: • utangulizi wa kina kuhusu mtotaa huu mpya wa umilisi • muhtosari wa umilisi, maadai. masualaibuka no shughuli nyinginezo zilizoratibiwa kufundishwa katika kilo surd • matokeo maalumu, maandalizi ya somo no shughuli zo ufunzaji wo kilo somo • mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitobu cha Mwanafunzi • mopendekezo yo shughuti za wonafunzi nje yo darasa • maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wonafunzi. Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha. Kitabu cha Mwanafunzi pomojo no Mwongozo wa Mwalimu vino shughuti. mazoezi no maelekezo tosha ambayo mwanofunzi no mwalimu watohitaji ili kufautu katika mtataa huu mpya wo Oxford. chaguo lakol

Top Products in Children Booksmore

    Reviews of Kiswahili dadisi Mazoezi ya Lugha Teachers Guide grade 1

    • No reviews exist yet for this product.

    Video Reviews of Kiswahili dadisi Mazoezi ya Lugha Teachers Guide grade 1

    • loading video reviews