This product may not be available anymore.

Akili pevu Kiswahili Angaza Kitabu cha Mwanafunzi Grade 2 Details

  • The best price of Akili pevu Kiswahili Angaza Kitabu cha Mwanafunzi Grade 2 by Avechi in Kenya is 405 KSh
  • Available payment methods are
    Cash on DeliveryE-Payment
  • Delivery fees are 300 KSh
  • The first appearance of this product was on Jan 17, 2019

Avechi's Description

by Shabaan Otieno, Mziwanda Banda

  • ISBN: 9789966562845
  • SKU: 2010127000709

Kiswahili Angaza ni kazi iliyosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Imetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya mtalaa mpya wenye kuzingatia umilisi, yaani, Competency-Based Curriculum, 2018. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kinazingatia mambo matano muhimu: 1. Kusoma ni kutagusano; wanafunzi wanafanya Shughuli mbalimbali wakiwa peke yao, wawili wawili au katika makundi; 2. Wanafunzi wanaanza kila somo kwa kuelezea picha au hall ama matukio wanayoyafahamu huku wakijadiliana; 3. Wanafunzi wanashiriki katika stadi nyingi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambua, kubainisha, kujenga na kuhakiki; 4. Lugha iliyotumika ni nyepesi mno no isiyokuwa na maneno magumumagumu na misamiati ya kubabaisha; 5. Mwanafunzi na mwanafunzi mwenzake, pamoja na mwalimu, mzazi na hata jarnii nzima wanashirikishwa ndani ya kitoau hiki. 

Top Products in Children Booksmore

    Reviews of Akili pevu Kiswahili Angaza Kitabu cha Mwanafunzi Grade 2

    • No reviews exist yet for this product.

    Video Reviews of Akili pevu Kiswahili Angaza Kitabu cha Mwanafunzi Grade 2

    • loading video reviews