Storymoja Cheche Za Kiswahili Kitabu Zha Mwanafunzi Gredi Ya 7 By Storymoja Details

  • The best price of Storymoja Cheche Za Kiswahili Kitabu Zha Mwanafunzi Gredi Ya 7 By Storymoja by Jumia in Kenya is 700 KSh
  • Available payment methods are
    Cash on DeliveryCredit Card
  • Delivery fees are 150-32000 KSh, with delivery expected within 1-11 day(s)
  • The first appearance of this product was on Jul 11, 2023

Technical Specifications

SKU:ST991BM36FMY5NAFAMZ
Model:Revision Book
Shop Type:Jumia Mall
Weight (kg):0.5
Main Material:Paper
Production Country:Kenya

Jumia's Description

Cheche za Kiswahili kwa Gredi ya 7: Kitabu cha Mwanafunzi ni kitabu kilichoandikwa kwa kuzingatia yaliyomo kwenye Mtaala wa Kiumilisi (CBC) ili kumfaa mwanafunzi kutekeleza shughuli mbalimbali za ujifunzaji.Manufaa ya kitabu hiki
  • Vipengele vyote vya mada mbalimbali kwa mujibu wa mtaala mpya.
  • Ujumuishaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika shughuli za ufunzaji na ujifunzaji wa lugha.
  • Matini ya kimuhtasari kuhusu kila mada ili kumwezesha mwanafunzi kuelewa upesi dhana anazojifunza.
  • Mapendekezo ya nyenzo mbadala zinazoweza kufaraguliwa kwa vifaa vinavyopatikana katika mazingira ya mwanafunzi.
  • Shughuli za nyumbani zitakazosaidia kujenga mahusiano ya kiushirikiano kati ya shule, familia na jamii kwa jumla.
  • Tathmini za kibinafsi baada ya kila mada ili kuwasaidia wanafunzi kupima ujifunzaji wao wa maarifa, ujuzi namaadili.
  • Shughuli tagusani zinazowashirikisha wanafunzi wenye mahitaji maalumu.
  • Masuala mtambuko yamejumuishwa katika shughuli za ujifunzaji.

Top Products in Booksmore

    Reviews of Storymoja Cheche Za Kiswahili Kitabu Zha Mwanafunzi Gredi Ya 7 By Storymoja

    • No reviews exist yet for this product.

    Video Reviews of Storymoja Cheche Za Kiswahili Kitabu Zha Mwanafunzi Gredi Ya 7 By Storymoja

    • loading video reviews