This product may not be available anymore.

Stadi za Kiswahili Shughuli za Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 1 Details

  • The best price of Stadi za Kiswahili Shughuli za Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 1 by Avechi in Kenya is 284 KSh
  • Available payment methods are
    Cash on DeliveryE-Payment
  • Delivery fees are 300 KSh
  • Similar products to Stadi za Kiswahili Shughuli za Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 1 are sold at officemart with prices starting at 836 KSh
  • The first appearance of this product was on Jan 17, 2019

Similar Products

Store

Payment methods

Delivery Time

Delivery Fees

Avechi's Description

by Mwalimu Kipande

Stadi za Kiswahlli ni Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 1 ni kitabu cha ziada kilichoandakwa kwa mujibu wa mtaala mpya uegemeao umilisi uliozinduliwa na Taasisi ya Ukuzaji Mitaala ya Kenya (KICD) mnamo Septemba 2017. Kitabu hiki kimejumuisha mada zote kuu na ndogo zilizomo katika ruwaza ya mtalaa ya Kiswahili Gredi ya 1. Isitoshe, mada kuu na ndogo zimepangwa kulingana na jinsi zilivyopongwa katika ruwaza hiyo. Fauka ya haya, yaliyomo yamewasitishwa kwa ubunifu wa hali ya juu kuyaoanisha na umilisi wa kimsingi, masuala mtambuko, maadili miongoni mwa masuala mengine yanayofumbatwa na mtaala mpya uegemeao umilisi. Kitabu hiki kimejumuisha shughuli za aina nyingi za kufanywa na mwanafunzi binafsi, wanafunzi wawili wawili na makundi ya wanafunzi. Kazi na shughuli za wanafunzi wawiliwawili na wanafunzi katika makundi zinadhamiriwa kuimarisha stadi za kusikitiza na kuzungumza na vilevile umilisi wa ushirikiano na mawasiliano. Aidha, kitabu hiki kimesheheni vifungu vya kusoma na vya kuchangamsha vitakavyomsaidia mwanafunzi kuimarisha stadi ya kusoma. Stadi ya kuandika haijaachwa nyuma. Kitabu kinazo shughuli za kutosha za mwanafunzi iii kustawisha stadi ya kuandika. 

Top Products in Children Booksmore

    Reviews of Stadi za Kiswahili Shughuli za Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 1

    • No reviews exist yet for this product.

    Video Reviews of Stadi za Kiswahili Shughuli za Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 1

    • loading video reviews