This product may not be available anymore.

Nyota ya Kiswahili Grade 2 Details

  • The best price of Nyota ya Kiswahili Grade 2 by Avechi in Kenya is 348 KSh
  • Available payment methods are
    Cash on DeliveryE-Payment
  • Delivery fees are 300 KSh
  • Similar products to Nyota ya Kiswahili Grade 2 are sold at officemart with prices starting at 450 KSh
  • The first appearance of this product was on Jan 17, 2019

Avechi's Description

Nyota ya Kiswahili Grade 2

by Obura Odhiambo, Bwanaheri A. Salim, Dorothy K. Nganje, Nelly Kitonga

Kitabu hiki kimedhamiriwa kutumika kama mfululizo wa vitabu vya ziada kwa Gredi ya Pili. Kimeandikwa kuombatana na mtalaa mpya. Kitabu hiki kimelenga kumwongoza mwanafunzi katika masomo yake ya lugha ya Kiswahili kwa kutimiza maarubu ya mtalaa wa kiwango husika. Ndani yake mna mbinu bora za ujifunzaji ambazo zitawaelekeza wanafunzi kuhusu njia bora za kutimiza malengo yao. Kimezingatia stadi zote za kujifunza lugha, rani: (i) Kusikiliza (ii) Kuzungumza (iii) Kusoma (iv) Kuondika (v) Msamiati

(vi) Sarufi Mwanafunzi amepewa nafasi ya kujifunza mwenyewe kutokana na picha maridhawa, hadithi, mashairi na michezo murua. Ili kuzidisha hamasisho la ujifunzaji, mwongozo maalumu umeandaliwa iii kuwapa walimu mbinu thabiti za kuuchochea ujifunzaji miongoni mwa wanafunzi. Ili kutathmini kiwango cha ujifunzaji miongoni mwa wanafunzi kitabu hiki kimetoamazoezi ya kutosha yatakoyowowezesho kupato: • Umilisi wa kimsingi • Maadili ya kimsingi • Uwezo wa kuyashughulikia masuala mtambuka Zaidi ya hayo uchochezi huo huwafahamisha namna ya kulinganisha uhusiano wa modo watiyojifunza;

  • na masomo mengine
  • na shughuli za huduma za kijamii zinazochangia ujifunzaji
  • na shughuli nyingine zilizoratibiwa za ujifunzaji

Kitabu hiki kimeandikwa na waandishi wenye tojiriba pevu. Womekomaa kwenye stadi ya uondishi wa vitabu vya kiado.

Top Products in Children Booksmore

    Reviews of Nyota ya Kiswahili Grade 2

    • No reviews exist yet for this product.

    Video Reviews of Nyota ya Kiswahili Grade 2

    • loading video reviews